Compositor: Pastor Alex do Cavaco
Wale waomba Bwana
Wana heshima wale wambao
Ndiyo Yesu Mwema!
Wana uzima wale waombao
Wana ushindi wale walalamikao
Wanafurahi walio na Yesu Mwema!
Wana baraka wale wasemao
Yesu ni Mwokozi wetu
Wana uzima wale wasemao
Yesu ndiye mwombezi
Wanafurahi walio na Yesu
Wanashinda shida zote kwa Yesu
Halleluya! Halleluya!
Tuna Yesu Mwema!
Wana uzima wa milele nao
Wanapendwa nao Baba yetu
Waaminifu watavikwa taji la utukufu
Watatembea katika nuru ya uso wake
Halleluya! Halleluya!
Tuna Yesu Mwema!
Uje kwetu roho mtakatifu
Ututakase mioyo yetu
Utupe nguvuzo za kuushinda ulimwengu
Na tuweze kufika mbinguni pamoja nawe
Mapokeo